Dar es Salaam. Kocha Mkuu wa Simba, Steve Barker, ameeleza kuwa pambano la Dabi ya Kariakoo linalowakutanisha miamba ya soka nchini, Simba na Yanga, ni kubwa kuzidi Dabi maarufu ya Soweto nchini ...
Morogoro. Watu 28 wamefariki dunia papo hapo katika ajali iliyohusisha lori aina ya Scania lililokuwa limebeba miti aina ya milunda na basi la abiria lililokuwa likitoka Dar es Salaam kuelekea Mbeya.
Moshi. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Kaskazini, Samwel Welwel amesema ameomba likizo fupi kutokana na changamoto zake binafsi. Welwel ambaye kitaaluma ni wakili ...
Dar es Salaam. Matumizi ya muda mrefu ya simu janja, kompyuta mpakato na luninga kwa watoto, uvaaji wa miwani bila ushauri wa wataalamu wa afya ya macho, pamoja na upakaji wa vipodozi vyenye kemikali ...
Kwa takriban mwaka mmoja, jina la Rand Water limekuwa gumzo kubwa katika maeneo mbalimbali na ndani ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar. Leo sakata limefungwa. Serikali imetangaza kuvunja mkataba wake ...
Arusha/Dar. Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema rufaa aliyokata kupinga kuondolewa kwa Profesa Mussa Assad katika wadhifa wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ...
Arusha/Dar es Salaam. Mahakama ya Rufani imetupilia mbali rufaa ya Kiongozi Mstaafu wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, kuhusu uhalali wa uteuzi wa Charles Kichere kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu ...
Dar es Salaam. Kwa miaka kadhaa, mfanyabiashara wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, alijijengea taswira ya mtu mwenye utajiri mkubwa kupitia magari ya kifahari, zawadi za gharama kubwa, michango ya kijamii ...
Wakati hadi sasa tiketi za mechi ya Ligi Kuu ya Watani wa Jadi, Simba na Yanga zikiwa hazijaanza kuuzwa, wenyeji wa mechi hiyo ya Ligi Kuu, Simba wamejivua mzigo wa lawama. Klabu hiyo imesema kwamba ...
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Neema Lugangira akiwashukuru Wajumbe wa IPU kufika wilayani kwake leo Jumatano, Oktoba 6, 2026 na kutembelea miradi miwili. Arusha. Ujumbe wa Mkutano wa 153 wa Umoja wa ...
Katibu wa Idara ya Uchumi na Fedha wa CCM, Jamal Kassim, wakati akikagua eneo ambalo mradi wa majengo ya biashara na ofisi ya chama hicho wilayani Temeke unapaswa kutekelezwa. Dar es Salaam. Chama Cha ...
Dar es Salaam. Watumiaji wa mafuta nchini watalazimika kuongeza wastani wa zaidi ya Sh200 kwa kila lita ya petroli na dizeli watakayonunua mwezi Oktoba, kufuatia ongezeko la bei za bidhaa hizo ...